MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, December 30, 2009

Marcio Maximo

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Marcio Maximo, akitoa maelekezo kwa wachezaji wakati wa mazoezi katika Uwanja wa Karume Dar es Salaam jana. timu hiyo ipo kambini kwa ajili ya mechi ya kimataifa ya kirafiki na Timu ya Taifa ya Ivory Coast inayotarajiwaa kchezwa januari 4 mwakani katika Uwanja wa Taifa kuanzia saa moja usiku

No comments:

Post a Comment