
Kutoka kushoto, Ofisa Elimu kata ya Kunduchi, Geradine Ishengoma, Mwalimu wa Shule ya Msingi, Ununio,John Maziku wakiangalia uimara wa moja ya madawati kati ya 50 yenye thamani ya Sh Milioni nne yaliyotolewa msaada na Kampuni ya Vodacom kupitia Kitengo cha Vodacom Foundation. Kulia ni Ofisa wa Mfuko huo, Glace Lyon
No comments:
Post a Comment