MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, May 10, 2011

wamarekani watoa msaada Jengo la wazazi Amana Dar

Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt (katikati) akiteta jambo na Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kulia) wakati wa ufunguzi wa chumba cha upasuaji wajawazito katika Hospitali ya Amana, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa. Picha na Selemani Saidi


No comments:

Post a Comment