MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, May 18, 2011

QUALITY CENTER


Jengo hili la kibiashara lililojengwa katika Barabara ya Nyerere (Pugu Road) karibu na Kiwanda cha Sigara linatarajia kuanza kutumika hivi karibuni ambapo huduma nyingi za kibiashara zitapatikana katika jengo hilo kama vile, huduma za Kibenki, huduma za simu kutoka makampuni mbalimabli ya Simu . Jana waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali walitembelea jengo hilo.



























Baadhi ya waandishi wakiwa katika ngazi inayoendeshwa kwa umeme









Mkurugenzi Mtendaji wa Quality Group Limited, Rajiv Bali akiwaelekeza waandishi moja ya huduma zilizopo katika jengo hilo

muunekano wa ndani wa jengo hilo




























































































No comments:

Post a Comment