MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, June 27, 2011

Bendi ya Mapacha watatu ilivyoburudisha katika Shindano la kumtafuta Mrembo wa Kitongoji cha Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki

Miss Sinza aliyemaliza muda wake akiiga




Mama huyu baada ya kusikia jina la mwanaye limetajwa katika kumi bora ya miss Sinza alipagawa kwa kushangilia
Vionjo vya mziki, baada kukolea
Mambo ya mziki hayo Kalala na Chokola wakihamasishana kuvua nguo
 Khalid Chokola akifanya vitu vyake
Mbwembwe za mziki Kalaka akiwa amelala

Wanenguaji wa Mapacha watatu wakiwa wamembeba Junior Kalala
 Warembo wakiwa katika Pozi
 Kundi la The Chocrate
 Kundi la The Chocrate wakitumbuiza
 Mmoja wa washiriki akipita na Vazi la Ufukweni
 Warembo waioshiriki shindano hilo wakiwa katika Shoo ya Ufunguzi

No comments:

Post a Comment