MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, June 26, 2011

Michuano ya Kagame Castle Cup Yanga nayo yatoka suluu ya 2-2 na El Merreikh ya Sudani

Wachezaji wa Yanga wakishangilia goli la kusawazisha dhidi ya El Merreikh 
Mashabiki wa Yanga wakishangilia timu yao
Keneth Asamour wa Yanga akiamba na mpira 
Beki wa timu ya Yanga, Godfrey Taifa akimzuia mchezaji wa timu ya El Merreikh, Ahmed Albasha

No comments:

Post a Comment