Chama cha Mapinduzi CCM katika mabadiliko yake yaliyofanywa hivi karibuni yanakwenda hadi nagazi za chini za Chama hicho na Seriali pia
Hayo yamesemwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alipokutana na baadhi ya wasambazaji habari kupitaia Blogs kwenye Ofisi ndogoza Jengo la CCM Lumumba Dar es Salaam.
Akielezea Baadhi ya Changamoto zilizozopo katika Chama hasa tunapoelekea kusherehekea miaka 50 ya Uhuru alisema tangu kuzaliwa kwa Chama hiki ni mambo mengi yamefanyika ukilinganisha na tulikotoka
Akitolea Mfano katika Vyuo Vikuu vilivyopo sasa hivi na wasomi wanaohitimu kila mwaka, alisema wameongezeka sana na ukilinganisha na kipindi cha nyuma
Pia alizungumzia mambo mablimbali yanayohusu jamii moja kwa moja hasa katika ngazi za vijiji, kata hadi Wilaya ambapo alisema kwamba wamepanga kufanya mageuzi makumbwa ili Chama kiwe karibu na wananchi na kirudishe heshima yake
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (katikati) akiwa na Mpiga Picha Mkuu http://www.siamepxs.blogspot.com/, Anthony Siame (kushoto) na Mpiga Picha wa www. fatherkidevu.blogspot.com
Bashiri Nkoromo akimwelezkeza mmoja wa wapiga Picha wa Blogs
Wakiwa katika Picha ya Pamoja na Katibu wa Uenezi na Itikadi ya CCM
Wakielekezana jinsi ya kupiga picha ya pamoja
Nape akijibu moja ya maswali aliyoulizwa
MMM Mheshimiwa hatujawahi kukupiga picha toka ushike hiyo nafasi ngoja tutafute picha nzuri hapa
No comments:
Post a Comment