Sheini Afunga Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Msemaji Mkuu Wizara ya Fedha na Mkuu wa Mawasiliano , Ingiaheri Mduma akipokea kikombe cha Ushindi kutoka kwa Rais wa Zanzaibar na Mwenyekiti wa Balaza la Mapinduzi Dr AllI Mohamed Shein, ambapo Wizara hiyo ilishinda nafasi ya kwanza ikiwa ni Wizara iliyofanya vizuri katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Mnazi Mmoja Dar es Salaam. Picha na Vitor Makinda
No comments:
Post a Comment