MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, June 23, 2011

Simba, Yanga kucheza na timu kutoka Ghana, Asante Kotoko na Hearts Of Oak katika Michuano ya Kimataifa ya Tanzania CUP Mwezi wa saba mwaka huu

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Lumuli, Lungile Sidwell Jan,  akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu mashindano ya Tanzania International Cup yanayotarajia kufanyika mwezi ujao nchini. Kushoto kwake ni Mwakilishi wa Kampuni ya Octagon, Bonga Sebesho na wa kwanza kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Godfrey Nyange na wa kwanza kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Fedha ya Klabu ya Yanga, Isaae Mazwile. Picha na Anthony Siame

No comments:

Post a Comment