MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, June 14, 2011

Maandalizi ya maonyesho ya Kimataifa ya 35 katika Viwanja vya Jk Nyerere Barabara ya Kilwa

Fundi akipa rangi katika mabanda ya maonyesho ikiwa ni maandalizi ya maonyesho hayo yanayotarajia kuanza mwishoni mwa mwezi huu
Mmoja wa wafanyakazi katika Viwanja vya maonyesho vya JK Nyerere akimwagilia bustani

No comments:

Post a Comment