MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, June 13, 2011

Kodi ya Mapato ya TRA kulipwa kwa kutumia M PESA ya Kampuni ya Vodacom


Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Nector Foya (katikati) akiwaonyesha Naibu  Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Placidus Luoga na Mkuu wa Kitengo cha Mauzo Vodacom m-pesa, Franklin Bagalla, bango litakalotumika kuelimisha umma njia za ulipaji kodi kupitia huduma ya Vodacom  m-pesa, wakati wa utambulisho rasmi wa huduma hiyo kwa waandishi wa habari Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment