Wanafunzi wa CHuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili waandamana kupinga Uongozi wa Chuo hicho kutotambua maamuzi ya Uongozi wa Serikali ya wanafunzi wa Chuo hicho
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili Dar es Salaam, wakielekea katika Jengo la Ofisi za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
No comments:
Post a Comment