Wafanyakazi wa Kampuni ya Symbion Power wakiwa kwenye hafla wakati waziri wa Nje wa Marekani alipotembelea Mtambo wa Kampuni hiyo
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja wa tatu kutoka kulia naye alihudhuria katika hafala hiyo
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mtambo wa kuzalisha umeme wa Symbion Power, Paul Hinks, akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Symbion Power Paul Hinks akizungumza, Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton na kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge, Daniel Yohannes
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Cliton akizungumza
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton akifurahia jambo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Symbion Power
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton, akipiga makofi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Symbion Power
No comments:
Post a Comment