MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, June 29, 2011

Mchezaji wa zamani wa Manchester United ya Uingereza, Andy Cole alivyowafundisha Soka vijana wa Shule ya Makongo Dar es Salaam wenye Umri wa miaka 17

 Cole akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam akipitia mlango wa VIP
 Mpicha Picha wa Magazeti ya Serikali, Daily News na Habari Leo Robert Okanda akiwa katika Picha ya pamoja na Andy Cole
 Cole akisaini picha
Cole akisaini moja ya picha zake walizokabidhiwa wanafunzi wa Makongo Sekondari

No comments:

Post a Comment