Nahodha wa timu ya Taifa na Klabu ya Yanga, Shadrack Nsajigwa aaga ukapela
Nahodha wa timu ya Taifa Taifa StarsShadrack Nsajigwa jana akiwa mkewe Janny Mwamasangula baada ya kufunga ndoa katika Kanisa la Morovin Mburahati Dar es Salaam na baadaye kufuatiwa Sherehe iliyofanyika katika Ukumbi wa Makuti Mgulani JKT
No comments:
Post a Comment