MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, July 2, 2011

yanga yaitungua 3-1 Bunamwaya ya Uganda Kombe la Kagame

Mashabiki wa timu ya Yanga ya Dar es Salaam, wakishangilia baada ya timu yao kuitungua 3-2 timu ya Bunamwaya ya Uganda katika michuano ya Kombe la Kagame inayoendelea katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment