MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, June 20, 2011

Mfanyabiashara kutoka Songea mkoani Ruvuma, Zela Verk aibuka mshindi wa Promosheni ya endesha pikipiki na tIGO

Hii ndiyo pikipiki ya Toyo atakayokabidhiwa ndugu Zela Verk, mfanyabiashara kutoka Songea mkoani Ruvuma
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya simu za mkononi tIGO, Jackson Mbando akizungumza wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya mshindi wa Pikipiki ya miguu mitatu
Wakiangalia namba ya mshindi ambapo mfanyabiashara kutoka Songea mkoani Ruvuma, Zela Verk aliibuka mshindi na atakabidhiwa hivi karibuni zawadi yake hiyo ya Pikipiki

No comments:

Post a Comment