MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, June 16, 2011

Sherehe ya kuzaliwa kwa Mhariri wa Michezo wa Gazeti la Mtanzania

 Mpiga Picha Mwandamizi, Michael Machellah wa Gazeti la Mtanzania akilimlisha keki Recheal Mligwa aliyesherekea Siku yake ya kuzaliwa katika Ukumbi wa Mzalendo Pub Dar es Salaam

Mhariri wa Michezo wa Gazeti la Mtanzania, Recheal Mwiligwa (kulia) na Mhariri wa Makala, Khamisa Maganga wakiselebuka

No comments:

Post a Comment