Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa Shirika la Maendeleo La Taifa (NDC), Neema Mbuja (kulia) akiwaelekeza jambo wafanyakazi wa Shirika hilo ikiwa ni maandalizi ya mwisho kwa ajili ya maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika Viwanja vya Mnaza Mmoja Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment