Tetemeko laleta kizaaza kwa wafanyakazi wa makampuni wanaotumia jengo la PPF TOWER
Jamani hapa tetemeko limetukumba katika Jengo letu lakini tupo salama ndivyo anavyowasimulia jamaa na ndugu kwa simu huyu dada. wafanyakazi wanaotumia jengo hilo wakiwa nje
No comments:
Post a Comment