

Mkuu wa Kitengo cha utafiti na Mipango wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, Hasange Bangu akijaribu kuwaelezea wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Elimu ya Juu jinsi ya watakavyoweza kushughulikia madai yao


lazima kieleweke


Tunadaiwa Ada na Uongozi wa Chuo halafu nyie mnasema mmetulipia inakuwaje jamani?
No comments:
Post a Comment