Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Ofisa Mtendaji Mkuu wa Twiga Bancorp Hussein Mbululo (kulia) baada ya Rais kupata maelezo kuhusiana na huduma za Beki hiyo ambayo inamilikiwa na serikali. Rais Kikwete alitembelea banda la Twiga Bancorp wakati wa ziara yake ya kukagua maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment