Meneja Habari Elimuna Mawasiliano, Sylivia Lupembe Gumza akiwapongeza Tigo kwa huduma yao ya "Tigo Tuchange" ambayo ni kwaajili ya kusaidia elimu kwa watoto Tanzasnia ambayo itafanyika 9 Julai 2011. Meneja Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando (kulia) amesema zoezi hili litaanza saa 9:00 asubuhi mpaka 10:00 asubuhi ambapo kama utanunua vocha zaidi ya 500/-ndani ya saa moja utapata mara mbili ya kile kiwango umeweka na hapo utakuwa umechangia elimu Tanzania. Pesa itakusanywa a kununua vitabu vya wanafunzi wa shule ya msingi
--
No comments:
Post a Comment