Meneja Masokoa na Usambazaji wa Kamuni ya New Habari, Grace Kasella akizindua promosheni hiyo
Mratibu wa Promosheni, Essy Ogunde akizungumza wakati wa Uzinduzi, Kulia ni Meneja Masoko na Usambazaji, Grace Kassella
Essy akionyesha nakala ya gazeti la Mtanzania ambalo ni miongoni mwa magazeti yatakayoshindaniwa katika Promosheni hiyo ya miezi mitatu
Baada ya uzinduzi baadhi ya wafanyakazi wakipatiwa nakalanza maelezo ya Kampuni ya New Habari (2006)
Huu ndiyo mchongo wa kwanza wa Toyota Vitz
Baaddhi ya wafanyakazi wakitost baada ya uzinduzi
No comments:
Post a Comment