MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, July 14, 2011

Foleni za magari jijini Dar es Salaam nyakati za usiku angani

Nyakati za jioni na asubuhi kunakuwa na msongamano wa magari jijini Dar es Salaam kutokana na wakazi wengi asubuhi kwenda kazini na jioni kurudi kwenye makazi yao

No comments:

Post a Comment