MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, July 13, 2011

Mbunge wa Igunga Rostam Azizi atangaza kuachia ngazi

 Baadhi ya wanachama wa CCM wa Igunga wakiwa wenye huzuni wakati aliyekuwa Mbunge wao Rostam Azizi akitangaza kuachia ngazi nafasi hiyo ya Ubunge wakati wa Mkutano uliofanyika Igunga
moja ya mabango yaliyokuwa yamebebwa na wanachama
Mmoja wa wanachama wa CCM Igunga akiwa hana furaha baada ya Mbunge wao Rostam Azizi kuachia ngazi nafasi hiyo

No comments:

Post a Comment