Mratibu wa pambano la ngumi la Kimataifa la WBO, Mood Bawazir (katikati) akiwatambulisha mabondia watakaopigana kuwania mkanda kati ya Mbwana Matumla na Francis Miyeyusho (kulia). Pambano hilo linatarajia kufanyika Mwezi wa kumi katika Ukumbi wa Diamond Jublee Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment