MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, July 17, 2011

Dk Mwinyi azindua kitabu

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi akionyesha kitabu kiitwacho, MWEZI UPI SAHIHI WA “KITAIFA” AU WA “KIMATAIFA” muda mfupi baada ya kukizindua Dar es Salaa jana. Kitabu hicho kimetungwa na Sheikh Profesa. Juma Mikidadi(kushoto) katikati ni Mwenyekiti wa Jopo la Masheikh la wanazuoni wa Kislam Tanzania Sheikh Sharif Hussein Hashim. Picha na Anthony

Baadhi ya masheikh na wanazuoni wa Kiislamu Tanzania wakiwa katika uzinduzi wa kitabu kilichotungwa na Sheikh Profesa Juma  Mikidadi, kiitwacho MWEZI UPI SAHIHI WA “KITAIFA” AU WA “KIMATAIFA”, kilichozinduliwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, kwa niaba ya Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, aliyetakiwa kukizindua. Picha na Anthony Siame

No comments:

Post a Comment