Msanii FIDQ akitumbuiza wakazi wa Dodoma wakati wa Promosheni ya NMB Pesa Fasta huduma inayomwezesha mtu kutuma pesa na kupokea hata kama hana akaunti ya nmb
Msanii Duly akitumbuiza wakazi wa mkoani Dodoma
Msanii Kingwendu akitumbuiza
Umati wa wakazi wa mkoani Dodoma wakiwa kwenye Promosheni ya NMB Pesa Fasta
No comments:
Post a Comment