MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, July 23, 2011

Vodacom yazindua Mradi wa kuwawezesha na kuwajengea uwezo wajasiriamali wadogo wanawake mwei mkoani Dodoma

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikaribishwa na Mkurugenzi Mtendaji Vodacom Tanzania Dietlof  Mare wakati wa uzinduzi wa mradi wa kuwawezesha na kuwajengea uwezo wajasiriamali wadogo wa kijiji cha Mwei, Wilaya Chamwino kupitia Mfuko wa Vodacom Foundation. Katika ni Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania, Mwanvita Makamba
 Baadhi ya wanawake waliokopeshwa wakiwa katika hafla hiyo
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda baada ya kuzindua akionyesha nembo ya Mradi huo

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano Mwanvita Makamba wakizungumza jambo baada ya uzinduzi . Katika ni Mkurugenzi Mtendaji Vodacom Tanzania Dietlof  Mare

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kwa mmoja wa wajasiriamali jinsi wanavyopata mikopo hiyo
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkurugenzi Mtendaji Vodacom Tanzania, Dietlof  Mare(kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Lephy Gembe wakitoka kupata maelezo ya wajasiriamali hao wanavyopata mikopo
 Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano Mwanvita Makamba akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mradi huo
Mkurugenzi Mtendaji Vodacom Tanzania akiwa katika Picha ya pamoja na wafanyakazi wa mradi huo na baadhi ya wajasiriamali

No comments:

Post a Comment