MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, July 3, 2011

Rais Dk Jakaya Kikwete akiwa kwenye Kilele cha Siku ya Ushirika Duniani, Kitaifa mkoani Kagera

 Akiwapewa maelezo namna ya upakiaji wa Kahawa kwenye gunia


Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete, akipatiwa maelezo ya upakiaji wa kahawa, wakati alipotembelea mabanda mbalimbali ya vyama vya ushirika kwenye kilele cha siku ya ushirika duniani ambapo kitaifa ilifanyika viwanja vya Gymkhana, mkoani Kagera, mwishoni mwa wiki

No comments:

Post a Comment