MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, July 5, 2011

Simba yatinga Nusu Fainali ya Michuano ya Kagame Castle Cup kwa kuichapa timu ya Bunamwaya ya Uganda 2-1

 Boban (Haruna Moshi) kushoto akikwepa kiatu
 Kipa wa Bunamwaya ya Uganda, Hamza Muwonge baada ya kufungwa goli la pili na Jerry Santo
 Mashabiki wa Simba wakishangilia
Jerry Santo aliye lala chini akipongezwa na wachezaji wenzake

No comments:

Post a Comment