MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, July 5, 2011

Uzinduzi wa Kampeni ya Kilimanjaro Jivunie U Tanzania yazinduliwa na Kampuni ya TBL ya miaka 50 ya Uhuru

Mkurugenzi wa Masoko wa TBL David Minja akizungumza
Kutoka kushoto ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe, Mjumbe wa Bodi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Ali Mwaimu, Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Robin Goetzsche, Mkuregenzi wa Bodi ya TBL, Arnold Kileo, Mjumbe wa Bodi Geoggrey Msella, Mkurugenzi Masoko TBL, David Minja na Maneja Miradi Maalumu wa TBL, Emma Orio wakigongeshana bia za Kilimanjaro Premium Lager kuashiria uzinduzi wa Kampeni ya ‘Kili Jivunie uTanzania uliofanyika katika Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam jana.



Meneja wa miradi maalum, Emma Orio akizungumza wakati wa uzinduzi huo
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Tbl Robin Goetzsche akizungumza wakati wa uzinduzi

No comments:

Post a Comment