MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, October 5, 2011

Mafunzo ya udereva pikipiki

Mkaguzi wa magari na Mjumbe wa Baraza la Usalama wa mkoa wa Dar es Salaam Anthony Gwandu akimsimania mmoja wa madereva pikipiki waliokuwa wanajaribiwa ili wapewe leseni za uendeshaji pikipiki ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani

No comments:

Post a Comment