MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, October 5, 2011

Mwinyi kazimoto wa Simba aanza mazoezi

 Kiungo mshambuliaji wa Simba Mwiny Kazimoto ameanza mazoezi baada ya kukaa nje ya uwanja kutokana na kuwa majeruhi
Kocha Mkuu wa Simba, Moses Basena akiwaongoza wachezaji wake katika Uwanja wa Kinesi Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment