Hawa ndiyo wabunge watakaoiwakilisha Tanzania katika Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki wakiwa ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma baada ya kuchaguliwa na wabunge wetu
Mbunge mteule wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki, Shy-Rose Banji akipongezwa na Mbunge wa Kinondoni, Idd Azan
Makongoro Nyerere mtoto wa marehemu Julius Nyerere akipongezwa na baadhi ya wabunge baada ya kutangazwa ni mioongoni mwa washindi.
No comments:
Post a Comment