MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, November 28, 2012

Shabiki wa Tanzania ang'anga'niwa Uwanjani

 Shabiki kutoka nchini Tanzania mkoani Shinyanga, Ali Shaban akiwa amekaa chini baada ya kuambiwa na askari wa Uganda kuto katiza Uwanja muda mfupi baada ya kumalizika kwa mchezo wa michuano ya Chalenji kati ya Kilimanjaro Stars na Burundi uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela uliopo Nambole. Kilimanjaro Stars ilifungwa 1-0
Waamuzi wakivalishana kifaa cha mawasiliano wakati wa Mchezo wa michuano ya Chalenji kati ya Kilimanjaro Stars na Burundi

No comments:

Post a Comment