Hamis Kiiza akiamba na mpiara
Kweyune Saidi akimtoka beki wa Sudanikusini baada ya kupokea pasi kutoka kwa Hamisi Kiiza
Mshambuliaji wa timu ya Uganda, Kweyune Saidi akiamba na mpira baada ya kupewa pasi na Hamis Kiiza wakati wa mchezo dhidi ya timua Sudankusini.
Kipa wa Sudanikusini, Juma Ginard akiuangali mpira ukielekea langoni baada ya kufanya juhudi za kuokoa bila mafanikio kwa kazi nzuri iliyofanywa na Hamisi Kiiza na hatimaye, Kweyune Siadi kumalizia kwa kufunga gori
No comments:
Post a Comment