MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, December 1, 2012

Kilimanjaro Stars yaifunga Somalia 7-0

Mshambuliaji wa Kilimanjaro Stars, Mrisho Ngasaa ameifungia mabao matano timu yake wakati wa mchezo  wa Chalenji 2012 dhidi ya timu ya Somalia katika mchezo uliochezwa kat ikaUwanja wa Lugogo nchini Uganda ikiwa  ni mwendelezo wa michuano hiyo ya Chalenji, pia katika mchezo huo, John Bocco aliweza kufunga mabao mawili na kutimiza idadi ya mabao saba.

 Kilimanjaro Stars imefanikiwa kuingia hatua ta robofainali ya michuano hiyo ambapo sasa siku ya Jumatatu itamenyana nat imu ya Taifa ya Rwanda inayofundishwa na Kocha Micho aliyewahi kuifundisha timu ya Yanga ya Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment