Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipozi na kikosi kizima cha
michezo mbalimbali cha Ikulu Sports Club ambacho kilinyakua jumla ya
makombe matano katika michezo mbalimbali
ya
Shirikisho la Michezo ya Wizara (SHIMIWI) mwaka huu mjini Morogoro.
Kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu Ikulu Mama Suzana Mlawi na kushoto
kwake ni Mkurugenzi wa Huduma za Ikulu Bw Julius Mogore katika hafla ya
kukabidhi makombe na kuwazawadia wafanyakazi bora iliyofanyika leo
Deswemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam. Kwenye michezo hiyo
iliyofanyika kuanzia Septemba 22 hadi Oktoba 10 mwakq huu, ilishirikisha
jumla ya wanamichezo 3500 kutoka wizara 56, mikoa 18 na idara za
serikali 14 ambapo wanamichezo 91 wa Ikulu walioshiriki walifanikiwa
kuibuka washindi wa kwanza katika michezo ya Baiskeli, Netbal, Kuvuta
kamba wanawake na wanaume na kushik nafasi ya pili ya riadha kwa
wanawake na wanaume.
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akinyanyua juu mojawapo ya makombe
matano ambayo Ikulu Sports Club ilinyakua kwenye michezo ya SHIMIWI ya maka huu mjini
Dodoma katika hafla ya kukabidhi makombe na kuwazawadia wafanyakazi
bora iliyofanyika leo Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es
salaam. Kwenye michezo hiyo iliyofanyika kuanzia Septemba 22 hadi Oktoba
10 mwakq huu, ilishirikisha jumla ya wanamichezo 3500 kutoka wizara
56, mikoa 18 na idara za serikali 14 ambapo wanamichezo 91 wa Ikulu
walioshiriki walifanikiwa kuibuka washindi wa kwanza katika michezo ya
Baiskeli, Netbal, Kuvuta kamba wanawake na wanaume na kushik nafasi ya
pili ya riadha kwa wanawake na wanaume.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Ombeni Sefue (wa nane toka kuliapamoja na Naibu Katibu Mkuu Ikulu
Mama Suzana Mlawi (kuliakwake) na Mkurugenzi wa Huduma za Ikulu Bw
Julius Mogore (kushoto kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na
wafanyakazi bora wa Ofisi ya Rais, Ikulu katika hafla ya kukabidhi
makombe na kuwazawadia wafanyakazi bora iliyofanyika leo Desemba 17,
2012 Ikulu jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment