Jamaes Millya akiwa pamoja na wanasheria wa kujitegemea wapya wakati wa kutunukiwa vyeti
Jaji Mkuu Othman Chande akizungumza wakati wa Sherehe za kutuku vyeti kwa wanasheria wapya
Mwanasheria mpya wa kujitegemea, James Millya (kulia) akipongezwa na Mbunge wa Nyamagana , Ezekia Wenje (kushoto) baada ya kutunukiwa cheti cha uwakili
Baadhi ya wanasheria wakiwa katika Sherehe hizo
No comments:
Post a Comment