MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, December 16, 2012

Kofii alivyowapagawisha wana Dar es Salaam

 Wanenguaji wa mwanamuziki Kofii Olomide wakiburudisha katika Tamasha Tuser Culnival lililofanyika katika Viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam 
 
 Kofii Olomide akitumbuiza wakati wa Tamasha la Tusker Culnival lililofanyika katika Viwanja Leaders Club Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya MTAAM KWA MTAA BLOG
 Mnenguaji akitumbuiza wakati wa Tamasha hilo
Charles Kofii Olomide

No comments:

Post a Comment