MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, December 16, 2012

Maadhimisho ya miaka mitatu ya Taasisi ya Hope Children Foundation

 
Baadhi ya vijana wanaohudumiwa na Taasisi ya Hope Children Foundation wakionyesha umahiri wa kucheza Sarakasi wakati wa maadhimisho ya miaka mitatu ya Taasisi ya Hope Foundation ya mjini Bagamoyo yaliyofanyika katika Chuo cha Sanaa Bagamoyo mkoani Pwani
 Vijana wa kike wakionyeha umahiri wa kucheza Sarakasi
 Hawa ni kati ya wanafunzi wa Shule za Msingi Bagamoyo mkoani Pwani wanaohududumiwa na Taasisi ya Hope Children Foundation wakiigiza igizo la watoto watoro wasiopenda kwenda Shule wakati wa maadhimisho ya miaka mitatu ya Taasisi hiyo
Vijana wa kike wakionyeha umahiri wa kucheza Sarakasi

No comments:

Post a Comment