Mwenyekiti
wa Jumuia ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo akivishwa Skafu
na Chipukizi, Magembe Joseph baada ya kuwasili katika Ofisi za Wilaya ya Magu
mkoani Mwanza
Mwenyekiti wa Jumuia ya wazazi Taifa, Abdallah Bulembo akionyeshwa kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alipozuru Butiyama
Wananchi wakimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Taifa Abdallah Bulembo wakati akihutubia wilayani Magu mkoani Mwanza
No comments:
Post a Comment