Kiungo mchezaji wa Kilimanjaro Stars, Mwinyi Kazimoto leo amefanya mazoezi na wachezaji wenzake katika Uwanja Chuo Kikuu cha Kyambogo nchini Uganda jana tayari kwa maandalizi ya mchezo wa Robo Fainali ya michuano ya Chalenji utakaofanyika kesho katika Uwanja wa KCC uliopo
No comments:
Post a Comment