Timu ya Azam FC ikicheza kwa kujiamni imeweza kuisamabaratisha timu ngumu ya Tanzania Prisons kutoka jijini Mbeya goli 3-0 katika mgumu wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa katika Uwanja wa Azm Complex uliopo nnje kidogo ya jiji la Dar es Salaam eneo la Chamazi Wilayani Temeke
Mabao ya Azamu mawili yalifungwa Na Kipre TChetche na moja likafungwa na John Boko 'Adebayo'
Wachezaji wa Azam wakishangilia moja ya mechi zao za Ligi Kuu Tanzania Bara
Kipre Tchetche akishangilia moja ya goli
No comments:
Post a Comment