MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, March 29, 2013

MAAFA DAR JENGO LA GHOROFA 16 LAANGUKA NA KUUA

 wakazi wa jijini Dar es Salaam wakiangalia kifusi cha Jengo la Ghorofa 16 lililodondok na kusababisha maafa.
 Hivi ndivyo madhari yalivyokuwa lilipodondoka jengo hilo
 Mmoja aliyeokolewa akiwa hai akitolea ndani ya kifusi
 Vifaa vya kuondoa vifusi vikiondoa vifuzi hivyo ili kuweza kuwaokoa waliokuwa wamekandamizwa na kifusi

Askari wa Jkt wakiwasili kusaidia uokoaji 
 Askari wa Kampuni binafsi wakisaidia kutafuta miili ndani ya kifusi
 Maiti ikitolewa ndani ya kifusi

Mmoja wa mafundi waliokuwa wanaendelea na ujenzi wa Jengo hilo, Said Hassan akiwa ameokolewa
Huu ndiyo mpangilio wa majengo katikati ya jiji

No comments:

Post a Comment