MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, March 31, 2013

UTAFUTAJI WA MIILI WAENDELEA KWENYE JENGO LA GHOROFA 16 LILILOANGUKA

Mbwa akiwa tayari kunusa miili ilipo ndani ya kifusi ili iweze kufukuliwa katika zoezi linaloendelea ambapo mpaka sasa mili ishirini na mitano imekwishapatikana

No comments:

Post a Comment