MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, March 28, 2013

UBALOZI WA CHINA NCHINI WATOA TATHIMINI YA UJIO WA RAIS WA CHINA NCHINI


Mshauri wa Utamaduni wa  Ubalozi wa  Jamhuri ya watu wa China kwa, Tanzania,  Liu Dong akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu manufaa ya ujio wa Rais wa China, hali ya mkutano wa kwanza wa Bunge la umma ya 12 la China  pamoja na mkutano wa kwanza wa Baraza la mashauriano ya kisiasa la awamu ya 12 la China. Pia China imeishukuru serikali ya Tanzania kwa mapokezi mazuri wakati wa ziara ya Rais mpya  XI Jinping ya  Jamhuri ya Watu wa China, pamoja na  waandishi wa habari katika juhudi zakuendeleza uhusiano mzuri baina ya China na Tanzania
 Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria Mkutano huo uliofanyika Ubalozi wa nchi hiyo jiji Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment