Kocha mpya wa Mashetani wekundu, Manchester United, David Moyes akiwa na mkataba wake muda mfupi baada ya kusaini mkataba wa miaka sita wa kuifundisha Man U
Klabu ya Manchester United imethibitisha kwamba Kocha wa Everton, David Moyes amesaini mkataba wa miaka sita wa kuifundisha timu hiyo ya Uingereza baada ya Sir Alex Ferguson aliyeifundisha timu hiyo kwa kipindi cha miaka 27 kujiuzulu.
David Moyes akizungumza baada ya kusaini mkataba alisema lakini atakabaki katika Klabu yake ya Everton mpaka mwisho wa msimu huu wa ligi
No comments:
Post a Comment